audio by album 'uhurumaoni redio'
Khamis
0:40 minutes (317.39 KB)
nna ndoto kwamba siku moja bunge letu litakuwa la wasanii tu, kwasababu wasanii ndo hasa ambao wanaigusa yale ambayo yanaikera jamii,badala ya wasomi ambao wanaonekana wazi kuwa ama ni magoigoi ama wamekuwa ni watumwa wa wanasiasa badala ya kuwa watumwa wa maendeleo.
Angel
Click to play
0:40 minutes (317.44 KB)
sipendi uvutaji wa sigara wala sipendi sigara.napenda uzalishaji au viwandani kodi zao ziwe za juu hata madukani pia kodi ziwe za juu ili kama ni sh 50 iuzwe 100 au 150 ili watu waweze kushindwa kununua sigara inaweza ikawa uvutaji wa sigara ukapungua zaidi.
