Makonda wa daladala
Submitted by Mwananchi on Mon, 2006-09-04 13:53.
Afya | Daladala
Jina
sudi jongo
Maoni
maoni yangu ni kwa makonda wa daladala na mabasi ya usafiri kwa ujumla hapa nchini, Nilikuwa naomba serikali iwapatie adhabu makonda na madereva ambao hawavai uniform na wanaovaa ovyo uniform zao, pia aslimia 87 ya makonda daladala hawafui uniform zao mpaka kupelea harufu mbaya mtu uingiapo ndani ya gari kwa ajili ya kusafili. Wakumbuke kwamba ile ni kazi yao na wanapaswa kuithamini, kwani wengi wao wanaangaika hawana ajira, sasa wao kwanini wasifanye kazi kwa moyo wa usafi ikiwa ni sehemu pia ambayo inaleta changamoto katika maendeleo ya taifa letu?
Simu
0744 522 640
