haki zizigatiwe kwa Asasi zote zinazo shughulika na ukimwi nchini tanzania
Submitted by Mwananchi on Tue, 2006-09-05 14:41.
Afya | Haki
Jina
Ayubu samweli
Maoni
Nikwamba mimi nasikia uchungu sana ninapo ona serikali za almashauli zinapo toa fedha kwa asasi zisizo Sajiliwa, Na asasi zilizo sajiliwa hazipewi kwasababu kanunu ya tanzania inasema mtu yoyote anaye azisha kitu kama asassi lazima asajiliwe. pasipo kusajiliwa huyo nitapeli .nawatanzania wengisana wametapeliwa asante ni MIMI .AYUBU SAMWELI . TOKA MTWRA COCOBEACH
Simu
255, 23,2333355,
