biashara ya daladala
Submitted by Mwananchi on Wed, 2006-09-06 09:42.
Biashara | Daladala
Jina
mack
Maoni
wafanyabiashara wa daladala mkoani moshi wamekuwa wakiendelea kulipisha nauli ile ile ambayo ilichangiwa na mafuta kupanda bei licha ya serikali kupunguza gharama zote zilizo changia upandishwajiwa nauli hiyo.Ninaomba vyombo husika viliangalie hili na ikiwezekana watoe ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na swala hili la kutoshusha naulikwani bado ni kikwazo kwa sisi ambao mapato yetu yapo chini.
