AJIRA
Submitted by Mwananchi on Sun, 2006-09-10 16:03.
Ajira
Jina
CHIKAKA
Maoni
Waajiri wengi wa sekta binafsi ni wanyonyaji (wa muda wa waajiriwa),wengi uwashawishi wafanyakazi( hasa wahitimu ambao hawajawahi kuajiriwa, pengine hawazitambui vizuri haki zao )kwa ahadi nyingi ambazo uwa ni za uongo, na kuwasainisha mikataba yenye kukandamiza haki za mfanyakazi.
