Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

ukosefu wa umeme na uchumi...

Jina

fundi

Maoni

...mhh kuhusu suala la uchumi kwa ujumla naona raisi wa awamu hii ya tatu kwani watu wanakosa umeme kwa masaa 12 mwezi karibia wa tatu sasa...shilingi yetu inazidi kushuka thamani ikiwa inasabibishwa pia na ukubwa wa serikali iliyoko madarakani na sera mbovu kwa ujumla za raisi aliyeko madarakani...hii yeto mwananchi wa kipato cha chini ndiye anayetwishwa huu mzigo mkubwa kwani hao wakubwa wana majereta wote kwa hiyo hawaoni karaha ya kutokuwepo kwa nishati muhimu kama umeme...

Simu

Barua pepe

Vote Result
----------