Maisha
Submitted by Mwananchi on Thu, 2006-09-28 15:04.
Maisha
Jina
Subira
Maoni
Maisha ya sasa hivi yamekuwa magumu mno kuliko kipindi chochote kile tangu nianze kuwa na akili za ufahamu. Vitu vimepanda bei kuliko kila kitu ni gharama na ajira zenyewe hazipatikani watu wanawekana maofisini. Tunaomba serikali iangalie swala la upandaji ovyo wa bidhaa ili iweze kurekebisha tatizo hili.
Simu
0755428303
