maisha
Submitted by Mwananchi on Fri, 2006-10-13 10:35.
Maisha
Jina
SAIDA RAJABU ZAUKUU
Maoni
Mimi ni mama wa watoto wawili ambaye nafanya kazi kwenye kampuni ya mtu binafsi.kiasi ninachopata hakitoshelezi kabisa. kuwasaidi hawa watoto wawili. Japo Baba yao upo lakini asilimia 80% ni mimi ndio ninawajibika. Sawa nauliza je kama ningekuwa sina kazi hawa watoto wangesoma kwa jinsi mahitaji yao wanavyokaa? Sisi akina mama tunaomba tupewe mikopo iliyo na riba nafuu ili tuweze kujikwamua kwa kwa maelezi ya familia ni sisi akina mama. Saida Rajabu Dar
Simu
0754822802
