Daladala
Submitted by Mwananchi on Wed, 2006-10-18 15:32.
Daladala
Jina
Tupa jb
Maoni
Unajua hapa Tanga hakuna bei maalum ya daladala mara 200 mara 300 wakati tunajua Dar nauli inaanzia 150 mpaka 250 kutokana na umbali kwanza walisema watashusha bei kwa kuwa mafuta bado yapo kwenye visima wamenunua kwa bei kubwa pamoja na kodi kubwa sasa sijui mpaka sasa mafuta hayajaisha kwenye visima hivyo ningeomba mamlaka husika ifuatilie tujue bei ni kiasi gani si mpaka uombe ndio ulipe 200
