elimu
Submitted by Mwananchi on Fri, 2006-10-20 15:23.
Elimu
Jina
Farid Saleh
Maoni
ok .ningependa kuchangia ktk suala zima la elimu kwa upande wa zanzibar kwa kweli wanafunzi hawatendewi haki hasa ktk mashule ya serikali .kwa hiyo naomba kiwepo kitengo maalum ambacho kitashugulikia suala la elimu kwa visiwani na hata bara .Kitengo hiki kiwe ni kama kimbilio kwa wanafunzi pindi haki inapokosekana
Simu
0777873704
