Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

KUHUSU ARDHI

Jina

NIWAELY OMBENI

Maoni

NAPENDA KUWAAMBIA WAHUSIKA WA KUJENGA UWANJA WA NDEGE MAANA SASA SIKU ZIMEKUWA NYINGI WATU HAWAJENGI MAANA WAPO KWENYE ENEO LA UWANJA WA NDEGE NYUMBA SASA ZINAKARIBIA KUBOMOKA HUWEZI KUJENGA KWA SABABU UPO ENEO LA UWANJA WA NDEGE UKIJENGA HUPEWI FIDIA KWA HIYO NAOMBA WAHUSIKA WALIANGALIE HILO ILI TUWEZE KUJENGA AU KAMA NI KWELI KUNAKUHAMA BASI WASIJENGE NITASHUKURU ENDAPO MTALIFANYIA KAZI HILO AKSANTE SANA

Simu

0752-367327

Barua pepe

niwaelyombeni@yahoo.com
Vote Result
----------