Haki
Submitted by Mwananchi on Wed, 2006-10-25 19:57.
Jina
Franco Malinga
Maoni
Sipendi kuona Haki zinakiukwa hasa kwenye mabaraza ya kata unakuta asiye haki anapewa haki eti kwasababu tu anazo (anapesa) je Hii siyo Rushwa?
