Taifa Stars
Submitted by Mwananchi on Wed, 2006-11-01 09:38.
Michezo
Jina
Kwassa A.
Maoni
Kwa maoni yangu jina la timu ya taifa i.e Taifa Stars libadilishwe kwani halina kielelezo chochote cha nchi yetu Tanzania. Badala yake inaweza kupewa jina la muasisi wa nchi yetu hii Mwl JK Nyerere katika kumuenzi ie KAMBARAGE HEROES
