ajira
Submitted by Mwananchi on Wed, 2006-11-01 16:21.
Ajira
Jina
Suzana Ruhasha
Maoni
Ninashangazwa ninapoona tangazo la kazi lakini wanataka uzoefu si chini ya miaka mitatu,je mtu aliyemaliza chuo afanye kazi wapi?
