Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Mafao ya NSSF

Jina

J.M.L, Arusha

Maoni

Kutokana na mfumuko wa bei ya kila kitu sisi wanachama wa NSSF tunaomba fursa ya kuchukua fedha kwenye akaunti zetu angalao mara moja kwa mwaka.Kwa utaratibu wa sasa fedha zetu zinapungua thamani kabla hatujazitumia.Ukiwekwa utaratibu mzuri tutaweza kusomesha watoto wetu ukizingatia elimu kwa mtoto haisubiri mzazi astaafu au kusimamishwa kazi vivyo hivyo ujenzi wa nyumba bora ni vizuri tujenge kabla ya kustaafu.Mfano umechangia NSSF kwa mika kumi,thamani ya miaka nane itakua imeanguka sana.Hivyo ni FAIDA ZAIDI kutumia hizo fedha KILA MWAKA.KWA MPANGO HUO TUTAONA FAIDA YA NSSF.

Simu

Barua pepe

lasway2005@yahoo.com
Vote Result
----------