Doria, Dar es Salaam
Afya

Many young people participate in abusing drugs. You see, considering that young people are today's nation - I would be wrong if I say tomorrow's... so whenever they abuse the drugs it destroys them as they are unable to work. I therefore like to advise the government or request the government to address the issue by stopping those involved in bringing the drugs into the country so that we can rescue our youths.
Vijana wengi wanashiriki sana kutumia madawa ya kulevya, unaona kwa hiyo ukizingatia kwamba vijana ni taifa la leo manaake nikisema la kesho nakosea ni taifa la leo. Kwa hiyo wanapotumia vijana haya madawa yanakuwa yana waathiri wanashindwa kufanyakazi. Kwahiyo nilikuwa naishauri Serikali au naiomba Serikali iangalie hili suala, wawadhibiti wale wanaoingiza madawa hapa nchini ili tupate kuwanusuru vijana wetu.