Daladala
Submitted by Mwananchi on Mon, 2006-12-18 17:02.
Jina
Risper
Maoni
Moja ya sababu inayopelekea wafanyakazi wa daladala kukiuka miiko sahihi ya muongozo wa usafiri wawapo barabarani ni tamaa ya fedha iliyojengeka kati yao na matrafiki. Hivyo wapo tayari kufanya kila lisilostahili kwa sababu wanajua hata wakikamatwa watahonga kitu ambacho si sahihi. Kwa kifupi ndio hivyo.
