Angel
- Play: Click to play
- Artist: HakiElimu
- Title: Angel
- Album: UhuruMaoni redio
- Year: 2006
- Length: 0:40 minutes (317.44 KB)
- Format: MP3 Mono 48kHz 64Kbps (CBR)
sipendi uvutaji wa sigara wala sipendi sigara.napenda uzalishaji au viwandani kodi zao ziwe za juu hata madukani pia kodi ziwe za juu ili kama ni sh 50 iuzwe 100 au 150 ili watu waweze kushindwa kununua sigara inaweza ikawa uvutaji wa sigara ukapungua zaidi.
