Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Rushwa

RUSHWA ADUI WA HAKI MPAKA LINI?

Jina

ALEXANDER HAULE

Maoni

RUSHWA: Maoni yangu jamani tuipinge rushwa kwani ni adui wa haki.Utakuta familia inateseka kufuatilia mirathi mahakamani miaka 2 bila mafanikio,mara watakwambia faili lenu halionekani,mara ooh bado halijafika,yaaani hatuwaelewi hiki chombo kimeweka kwa madhumuni gani ?kutetea wanyonge au kuwakandamiza kabisa? ALAFU SIONI KABISA KAZI WANAOIFANYA HAWA TAASISI YA KUZUIA RUSHWA(PCB),SIJUI WANAOGOPA AU HAWAWEZI MAJUKUMU YAO?

Simu

0713237512

Barua pepe

akongogo@yahoo.com
Vote Result
----------

rushwa

Jina

juma richard okumu

Maoni

kwa kweli suala la rushwa limekuwa ni suala kubwa sana kwa sababu linagusa jamii nzima mfano kwenye vituo vya afya na vituo vya polisi kumekuwepo na vitendo vya rushwa kwa maana hiyo tunaomba serikali ihangalie suala hilo.hasa hapa kwetu musoma na sehemu mbalimbali tanzania.

Simu

Barua pepe

jmrchrd@yahoo .com
Vote Result
----------

RUSHWA

Jina

JUMA RICHARD OKUMU

Maoni

NINAIOMBA SERIKALI IANGALIE SUALA LA RUSHWA HASA KATIKA VYOMBO VYA USALAMA WA RAIA KAMA MAHAKAMANI, POLISI NA MAMLAKA YA MAPATO KWA SABABU RUSHWA IMEKITHIRI SANA SEHEMU HIZO.

Simu

Barua pepe

jmrchrd@yahoo.com
Vote Result
----------

Rushwa CHUO KIKUU

Jina

Eliya Wilbert

Maoni

Ninapenda kutoa maoni/malalamiko yangu kuhusu RUSHWA ya kupata vyumba inayoendelea pale CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. Kwa kweli ni AIBU kwa wanavyuo KUUZIWA vyumba kwa bei inayoanzia 200,000/ hadi 500,000/ kwa njia isiyo halali. Ninasema hivyo kwa sababu jambo hili limetokea katika semister hii inayoendelea sasa, ma-warden wa mabweni wanadiriki KUWAUZIA wanafunzi vyumba hivyo ambavyo ni HAKI YAO kuvipata kwa taratibu zilizowekwa na utawala wa chuo. Tena kuna kila dalili za UCHAFU huu kuendelea katika semister ijayo. Ninawashauri HAKI ELIMU kufuatilia ninyi wenyewe tena hata kwa kuwahoji baadhi ya wanafunzi hasa wanaoishi HALL VII. Kama wanafunzi hawa watakuwa viongozi hapo baadae, tutegemee RUSHWA kutokuisha Tanzania. Kwani pale walipo wanachukua kozi ya KUTOA NA KUPOKEA rushwa, na hasa ukizingatia kuwa hakuna anayejali wala kufuatilia suala hili. Tunawaomba sana mfuatilie jambo hili na kulifikisha kwenye vyombo vya habari ili kuliokoa taifa letu na mdudu huyu hatari aitwaye RUSHWA.

Simu

Barua pepe

eliyawill@yahoo.com
Vote Result
----------

Rushwa

Jina

GREYSON ONESMO

Maoni

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 16 ninasoma Kampala. Huwa ninarudi kila likizo.Nimeshuhudia mambo mengi yasiyo na utu katikan mipaka ya Tanzania na Kenya. Kusema ukweli inatia huruma na tunaomba serekali iingilie kati.

Simu

Barua pepe

Vote Result
----------

Lilian, Dar es Salaam

Lilian

Swala la rushwa limekithiri hapa nchini. Unaenda kutafuta kazi, una vyeti vyako vizuri, umesoma. Unavyoenda kule maofisini, unaenda unanza kuambiwa: unipe kiasi fulani cha pesa, ambacho hicho inakuwa ni kama inaathari wananchi. Na watu, inakuwa mambo mengine ya ufuatiliaji ambao hauna maana. Kumbe, matokeo yake unakuta wale watu wana ndugu zao ambao hawana hata kazi, wanachukua vyeti wanavifoji.


We have a big corruption issue in this country. You go to look for a job, you have good certificates, are well-educated. When you come to the office, they start by saying: give me a certain amount of money, which is affecting the citizens in a negative way. And these people will come up with other things to follow up for no reason. Surprise, in the end you find out that these people have relatives without qualifications...

 

Vote Result
----------

Syndicate content