Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Michezo

Aisha, Dar es Salaam

Nachangia kuhusu suala la michezo limerudishwa  mashuleni lakini zana za michezo hakuna. Hivyo tulikuwa tunaomba ziletwe zana za michezo mashuleni ili kuboresha michezo.


I would like to talk about the reintroduction of school games yet the sports gears are unavailable. We would like to request that these gears be provided to improve the sports in schools.

Vote Result
----------

Abbas, Dar es Salaam

Abbas, Dar es Salaam

Maoni yangu mimi nikuhusu hii chimbachimba iliyokuja hapa kutengeneza barabara ni kama wameyaambia magari yaende kwa fujo. Utakuta gari ikipita inaacha kupita kule barabarani yanakatisha pale uwanjani na pale uwanjani ndio sehemu tunayotumia sisi kucheza mpira. Kwa hiyo pale sisi tutaathirika na yale magari yanayopita pale yanaweza yakatugonga.


My opinion regarding the caterpillars that are here to repair the roads: its as if they have instructed the cars to drive recklessly! The vehicles divert from the main road into the ground where we play football. This bothers us a lot us as they could easily run us over!

 

Vote Result
----------

Taifa Stars

Jina

Kwassa A.

Maoni

Kwa maoni yangu jina la timu ya taifa i.e Taifa Stars libadilishwe kwani halina kielelezo chochote cha nchi yetu Tanzania. Badala yake inaweza kupewa jina la muasisi wa nchi yetu hii Mwl JK Nyerere katika kumuenzi ie KAMBARAGE HEROES

Simu

Barua pepe

Vote Result
----------

Tunawezo wakuendelea mbele bila uchawi

Jina

Ayasi Ramadhani

Maoni

Kwa Tanzania tukiongeza bidi na kijituma hasa wechazaji wetu tunaweza kufika mbali,ila tuachane na imani za "kichawi" maana soka na uchawi hali endi maana nilisikitika kusoma gazeti na kukuta eti mpira kati ya simba na yanga ulitawaliwa na "uchawi" sio picha nzuri kwa Taifa inaonesha kwamba sisi mpira hatujui wakati tunajua vizuri

Simu

Barua pepe

mjombaayasi@yahoo.com
Vote Result
----------

Abdalla, Iringa

Abdalla

Mimi ni mwanasports, kitu ambacho kinanikera kwamba TFF wameagizwa watafute kocha wa kutoka nje ili na sisi soka letu liwe juu lakini cha kusikitisha ni kwamba mpaka sasa hivi TFF haijaamua lolote, na sisi mwanasports tunasikilizia kwamba nini kinaendelea lakini hatuelewi chochote.


I am a sportsman. What annoys me is that TFF have been told to find a coach from abroad, so that also our football should be improved, but sadly until now TFF have not made a any decision. And we sports fans try to find out what is happening but we don't understand any

Vote Result
----------

Nasra, Lushoto

Nasra

Napenda kucheza mchezo. Na mchezo ninayopenda kucheza ni "rede". Mmoja anakaa huko, mmoja anakaa huko, halafu anaingia mwengine katikati na wanacheza.


I like to play. My favourite game is called "Rede". One stands here and one over there and another one in between and then they play.

Vote Result
----------

Sakina, Dar es Salaam

Sakina

Saa hizi nacheza mpira wa mguu na saa hizi tunajiandaa katika ligi. Nilikuwa naomba serikali itufanyie mkaza ili tuweze kushiriki mashindano na tuweze kupitishwa katika ligi. Wasije wakatusahaulisha tena, tunasahaulika sana katika michezo. Na serikali huwa inaangalia sana wavulana katika michezo, wasichana huwa hatuangalii. Sasa nilikuwa naomba: ituangalie na sisi katika michezo!


This time of the day I play football and we are now getting ready for the league. I ask the government to support us, so that we can participate in tournaments and enter the league. They shouldn't forget us again, we are often very much forgotten when it comes to sports. The government usually pays a lot of attention to boys' sports, but doesn't look at girls' sports. Now I want to ask: support also our sports!

Vote Result
----------

Syndicate content