Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Afya

Ernest, Lutindi

Maoni yangu ni kwamba naomba Serikali au Mashirika yanayohusika na masuala ya matibabu ya magonjwa ya akili na pamoja na matatizo ya madawa ya kulevya. Naomba wasaidie kujenga japo vituo vingi katika sehemu mbali mbali za Tanzania na pia kuwasaidia madokta ambao wanahusika na kutoa matibabu kwa wagonjwa kwa kuwa kazi wanayo fanya ni ngumu sana.


I want to request the government or organisations providing treatment for mental illness and problems related to drug abuse to help putting up clinics in different parts of the country and to support the doctors who are caring for the sick because this is such a demanding job.

Vote Result
----------

Doria, Dar es Salaam

Vijana wengi wanashiriki sana kutumia madawa ya kulevya, unaona kwa hiyo ukizingatia kwamba vijana ni taifa la leo manaake nikisema la kesho nakosea ni taifa la leo. Kwa hiyo wanapotumia vijana haya madawa yanakuwa yana waathiri wanashindwa kufanyakazi. Kwahiyo nilikuwa naishauri Serikali au naiomba Serikali iangalie hili suala, wawadhibiti wale wanaoingiza madawa hapa nchini ili tupate kuwanusuru vijana wetu.


Many young people participate in abusing drugs. You see, considering that young people are today's nation - I would be wrong if I say tomorrow's... so whenever they abuse the drugs it destroys them as they are unable to work.

Vote Result
----------

Afya

Jina

Sebastian Theophil

Maoni

Selikari yetu ya Tanzania ingetambua nafasi ya wataalam wa lishe wanaohitimu chuo kikuu cha kilimo cha sokoine na kuanzisha ajira yao katika kila hospitali ili watumie utaalam wao kwa kutoa huduma kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi yatokanayo na lishe. Kwa hali ya sasa naona selikari haijatambua kabisa uwepo wa wataalam hawa na kuwatumia.

Simu

+255713593475

Barua pepe

sebathe2yahoo.co.uk
Vote Result
----------

afya

Jina

Devotha Msigwa

Maoni

Mimi nachangia swala la afya hasa ukienda mahospitalini utakuta wagonjwa wengi hawathaminiwi sababu rti hawana pesa na wenye pesa au wanaofahamika utaona ndio wanaosaidiwa mapema sana na kuwaacha wagonwa wengine wakifa kisa hawana pesa kwakweli hii si haki kabisa ni kwenda kinyume na haki za bina wauguzi au madokta wawe huruma na wakae wakijua binadamu wote ni sawa.

Simu

0753125994

Barua pepe

Vote Result
----------

haki zizigatiwe kwa Asasi zote zinazo shughulika na ukimwi nchini tanzania

|

Jina

Ayubu samweli

Maoni

Nikwamba mimi nasikia uchungu sana ninapo ona serikali za almashauli zinapo toa fedha kwa asasi zisizo Sajiliwa, Na asasi zilizo sajiliwa hazipewi kwasababu kanunu ya tanzania inasema mtu yoyote anaye azisha kitu kama asassi lazima asajiliwe. pasipo kusajiliwa huyo nitapeli .nawatanzania wengisana wametapeliwa asante ni MIMI .AYUBU SAMWELI . TOKA MTWRA COCOBEACH

Simu

255, 23,2333355,

Barua pepe

Vote Result
----------

Makonda wa daladala

|

Jina

sudi jongo

Maoni

maoni yangu ni kwa makonda wa daladala na mabasi ya usafiri kwa ujumla hapa nchini, Nilikuwa naomba serikali iwapatie adhabu makonda na madereva ambao hawavai uniform na wanaovaa ovyo uniform zao, pia aslimia 87 ya makonda daladala hawafui uniform zao mpaka kupelea harufu mbaya mtu uingiapo ndani ya gari kwa ajili ya kusafili. Wakumbuke kwamba ile ni kazi yao na wanapaswa kuithamini, kwani wengi wao wanaangaika hawana ajira, sasa wao kwanini wasifanye kazi kwa moyo wa usafi ikiwa ni sehemu pia ambayo inaleta changamoto katika maendeleo ya taifa letu?

Simu

0744 522 640

Barua pepe

Vote Result
----------

Ambokile, Korogwe

Ambokile

Ningependa kuona kwamba wagonjwa wa akili, wawe kama wenye maradhi mengine wanavyokwenda kutibiwa nyumbani. Basi hata magonjwa ya akili pia kuna uwezekano wa kwenda kumtibu nyumbani, ili kuondoa hii hali ya kwamba kila mgonjwa lazima akalazwe hospitali. Inawezekana kabisa kumtibu mngonjwa katika mazingira ya nyumbani kwake.


I would like to see that the mentally ill are treated like any other ill person who can be treated at their home. A mentally ill person too can be cured at home, they do not have to be admitted to hospital. It is perfectly feasible to treat such a person in

Vote Result
----------

Syndicate content