Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Biashara

Asha, Iringa

Asha

Tunanyanyasika kwa upande wa mikopo,yaani unakuta mtu unachukua hela rejesho kubwa,biashara zenyewe mbaya hazitoki, kwa hiyo ukishakuwa huna rejesho ina maana kwamba utafatwa. Kwahiyo kina mama tunaona nyumba chungu tunazikimbia na ukisha kaa nyumbani inabidi wakufuate, na tokeo la hapo utanyang'anywa vitu sasa kama utanyang'anywa vitu utakuwa umefanya nini?


We are frustrated when it comes to taking loans. You take a loan, the interest is high, the business is low, so when you are not able to pay back that means you will be pursued, and when things get worse we women end up running away and stay at home. The end result is confiscation of our goods, if they get taken away from us, what would we have achieved?

 

Vote Result
----------

biashara ya daladala

|

Jina

mack

Maoni

wafanyabiashara wa daladala mkoani moshi wamekuwa wakiendelea kulipisha nauli ile ile ambayo ilichangiwa na mafuta kupanda bei licha ya serikali kupunguza gharama zote zilizo changia upandishwajiwa nauli hiyo.Ninaomba vyombo husika viliangalie hili na ikiwezekana watoe ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na swala hili la kutoshusha naulikwani bado ni kikwazo kwa sisi ambao mapato yetu yapo chini.

Simu

Barua pepe

Vote Result
----------

Anato, Dar es Salaam

Anato

Kero yangu kwa wateja wetu: hawaridhiki na bei. Ukiwaambia kwa mfano "table cloth elfu kumi na tano", wanasema "aah, elfu kumi!" ama "elfu nane!". Wanaona ni kazi ndogo na wanaona ni shanga tu. Kumbe ni kazi kubwa na inachukua muda mrefu halafu ni kazi ya wanawake wenye vikundi. Kwa hivyo naomba wajali kazi zetu!


I have one problem with our customers: they don't accept the prices. If you tell them for example: "this table cloth costs fifteen thousand", they say "aha, ten thousand" or "eight thousand!". They think it's a small job and just decoration. Instead it is a big job and it takes a long time and is done by women who are organised in a group. Therefore I ask them to value our work!

Vote Result
----------

Syndicate content