Walemavu
Josephat, Mtwara
WalemavuMiundo mbinu ya watanzania inasikitisha kweli, kwasababu miundo mbinu iliopo kwa sasa haikidhi mahitaji ya watu wenye ulemavu, iwe ya binafsi, iwe ya Serikali. Hivyo tunawaomba wale wanao husika na masuala ya miundo mbinu kukumbuka kwamba na watu wenye ulemavu wapo.
The infrastructure for Tanzanians makes me really sad, because it does not consider the needs of the physically challenged people, be it the private or government. We therefore call to all those involved in infrastructure development to remember the disabled amongst us.
Donatus, Tabora
WalemavuElimu inayotolewa kwa watoto wa kitanzania na hasa katika mpango wa MMEM na MEMCO, uhakikishe kwamba unawahusisha na watoto wote wenye ulemavu hasa wasio ona maana katika mpango huo wanaonekana kusahaulika kabisa.
It should be ensured that the education given to Tanzania children, in particular through MMEM and MEMKWA programmes, includes all the physically challenged children especially the blind ones because in this programme they seem to have been left out.
tatizo la walemavu kukunyanyaswa
Submitted by Mwananchi on Fri, 2006-10-20 12:32. WalemavuJina
Mwakisambwe
Maoni
Haki elimu mutueleze takwimu za unyanyasaji mnazo? Kama mnazo tuonyesheni
Simu
maoni
Submitted by Mwananchi on Fri, 2006-09-15 12:15. WalemavuJina
gift c gmchawa
Maoni
naomba kupendekeza kwamba serikali iwajali sana walemavu
Simu
Thomas, Simanjiro
WalemavuSerikali inapaswa kutafuta mbinu ili walemavu na wao waweze kuajiriwa, waweze kujisaidia katika maisha yao ya kibaadaye. Wengi wao walemavu hawajasoma na hivyo wanaumia wanvyojitahidi kushuhulikia maisha yao ya baadaye.
Disabled people should also be able to find employment, so that they can lead independent lives. Many disabled people have not been to school, so they have problems when it comes to trying to build a future for themselves.
