Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Daladala

Abdalla, Mbeya

Kwa sababu ni mfanyakazi eneo la Stend, kero langu lipo kwa gari zinatoka Tunduma, zinatoka Kiera, zinatoka Chunya zinaishia Mwanjila wakati kuna Stend kuu hapa yakufika watu kuja kupokea ndugu zao, hasa hapa watu wanapata tabu kuja kuwatafuta ndugu zao. Ndugu yako ametoka wapi, ametoka Kiela inabidi apate tabu tena kutoka hapa aende tena Mwanjila kwenda kumtafuta ndugu yake wakati hapa kuna Stend kuu ipo hapa Mbeya.


As I work at the bus stop, I am irritated about the public transport vehicles from Tunduma, Kiero and Chunya that terminates the journey at Mwanjila, whereas there is a main bus terminal here in Mbeya where relatives and friends wait to receive the passengers.

Vote Result
----------

Mohamed, Iringa

Kubwa linalonikera, ni kwamba hao madereva wa Haisi wanachukua gari asubuhi ikifika majira ya saa kumi au saa kumi na moja jioni wanaondoka na kuwaachia watu ambao hawana leseni maarufu kwa jina la dai waka...


What infuriates me most, is that our public transport drivers take the minibuses from morning to four or five o'clock in the afternoon, then they leave their vehicles to untrained drivers without licences, widely know as day workers...

Vote Result
----------

Daladala

Jina

Tupa jb

Maoni

Unajua hapa Tanga hakuna bei maalum ya daladala mara 200 mara 300 wakati tunajua Dar nauli inaanzia 150 mpaka 250 kutokana na umbali kwanza walisema watashusha bei kwa kuwa mafuta bado yapo kwenye visima wamenunua kwa bei kubwa pamoja na kodi kubwa sasa sijui mpaka sasa mafuta hayajaisha kwenye visima hivyo ningeomba mamlaka husika ifuatilie tujue bei ni kiasi gani si mpaka uombe ndio ulipe 200

Simu

Barua pepe

jbtupa5@yahoo.com
Vote Result
----------

Leseni kwa madereva kuepusha ajali

Jina

Sosteness Emanuely Kawishe

Maoni

Mimi naonelea kwamba dereva yoyote anaendesha gari ya abiria na mizigo zaidi tani mbili awe na leseni ya class c na awe umri usiopungua miaka thelathini na tano na awe amesoma chuo kinachoeleweka kiserikali na kiundwe chombo maalum cha kuhakiki leseni.

Simu

0713439692

Barua pepe

Vote Result
----------

biashara ya daladala

|

Jina

mack

Maoni

wafanyabiashara wa daladala mkoani moshi wamekuwa wakiendelea kulipisha nauli ile ile ambayo ilichangiwa na mafuta kupanda bei licha ya serikali kupunguza gharama zote zilizo changia upandishwajiwa nauli hiyo.Ninaomba vyombo husika viliangalie hili na ikiwezekana watoe ufafanuzi wa kutosha kuhusiana na swala hili la kutoshusha naulikwani bado ni kikwazo kwa sisi ambao mapato yetu yapo chini.

Simu

Barua pepe

Vote Result
----------

Makonda wa daladala

|

Jina

sudi jongo

Maoni

maoni yangu ni kwa makonda wa daladala na mabasi ya usafiri kwa ujumla hapa nchini, Nilikuwa naomba serikali iwapatie adhabu makonda na madereva ambao hawavai uniform na wanaovaa ovyo uniform zao, pia aslimia 87 ya makonda daladala hawafui uniform zao mpaka kupelea harufu mbaya mtu uingiapo ndani ya gari kwa ajili ya kusafili. Wakumbuke kwamba ile ni kazi yao na wanapaswa kuithamini, kwani wengi wao wanaangaika hawana ajira, sasa wao kwanini wasifanye kazi kwa moyo wa usafi ikiwa ni sehemu pia ambayo inaleta changamoto katika maendeleo ya taifa letu?

Simu

0744 522 640

Barua pepe

Vote Result
----------
Syndicate content