Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Maisha

warning: getimagesize() [function.getimagesize]: Filename cannot be empty in /home/haki/uhurumaoni.org/modules/contrib/playlist/audio_playlist/audio_playlist.module on line 648.

KERO YA MGAO WA UMEME TANZANIA

|

Jina

ROLAND MAANGA

Maoni

Uchumi wa Tanzania unaporomoka kwa kasi kubwa kutokana na ukosefu wa nguvu ya umeme wa uhakika. Madini ya Uranium yanayotengeneza nishati ya nyuklia yanapatikana Tanzania. Natoa wito kwa Wizara ya Nishati na Madini kuwasiliana na nchi kama Iran na Korea waombe kupewa teknolojia ya uzalishaji nguvu za umeme kwa njia ya nyuklia na tutaondokana kabisa na tatizo sugu la umeme linalokabili nchi yetu.

Simu

+255784459850

Barua pepe

rmaanga@hotmail.com
Vote Result
----------

maisha

Jina

SAIDA RAJABU ZAUKUU

Maoni

Mimi ni mama wa watoto wawili ambaye nafanya kazi kwenye kampuni ya mtu binafsi.kiasi ninachopata hakitoshelezi kabisa. kuwasaidi hawa watoto wawili. Japo Baba yao upo lakini asilimia 80% ni mimi ndio ninawajibika. Sawa nauliza je kama ningekuwa sina kazi hawa watoto wangesoma kwa jinsi mahitaji yao wanavyokaa? Sisi akina mama tunaomba tupewe mikopo iliyo na riba nafuu ili tuweze kujikwamua kwa kwa maelezi ya familia ni sisi akina mama. Saida Rajabu Dar

Simu

0754822802

Barua pepe

babuswedy@yahoo.com
Vote Result
----------

Maisha

Jina

Subira

Maoni

Maisha ya sasa hivi yamekuwa magumu mno kuliko kipindi chochote kile tangu nianze kuwa na akili za ufahamu. Vitu vimepanda bei kuliko kila kitu ni gharama na ajira zenyewe hazipatikani watu wanawekana maofisini. Tunaomba serikali iangalie swala la upandaji ovyo wa bidhaa ili iweze kurekebisha tatizo hili.

Simu

0755428303

Barua pepe

Vote Result
----------

maisha

Jina

HASSAN MBILILI

Maoni

nahitaji sana kuchangia mawazo kwa njia ya video sijui nifuate utaratibu upi?

Simu

Barua pepe

Vote Result
----------
Syndicate content