Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Siasa

Uongozi na Katiba

Jina

MpigaKura

Maoni

1. Viongozi katika ngazi zote za utawala wawe wa kuchaguliwa ili kuendana na mfumo wa vyama vyingi. Si sahihi kuwa na halamashauri iliyo chini ya chama A halafu kukawa na mkuu wa wilaya akisimamia maslahi ya chama B. 2. Majukumu ya Waziri mkuu yaonganishwe na yale ya makamu wa raisi. Mmoja kati ya wawili hawa anapaswa kuondoka. 3. Katiba isukwe upya na ishirikishe wananchi na si ya kujifungia. 4. Mwanachi asiwe na nguvu wakati wa uchaguzi tu, kama kiongozi anafanya vibaya awajibishwe hata kabla ya miaka mitano.

Simu

Barua pepe

mpigakura@spy.la
Vote Result
----------

UONGOZI

Jina

Valo Niame

Maoni

Viongozi wa awamu ya nne wamegubikwa na ziara na seminar zisizo na faida. wanatumia gharama kubwa katika semina na ziara, hela ambayo ingetumika katika maendeleo, mfano mahospitali na mashuleni.

Simu

0786387503

Barua pepe

ngikukundi@yahoo.com
Vote Result
----------

WOTE TUNA HAKI

Jina

Maston W. Mwakila

Maoni

Mimi huwa nashangaa sana kuona viongozi wanaingia mikataba mikubwa mikubwa na mashirika ya nje ya ukopeshaji lakini wananchi mkitaka kuiona wanang`aka. Mbona kulipa sisi wananchi wa kawaida ndio walipaji wakubwa? Mnadhani kupewa mamlaka ya kusaini mikataba kwa niaba yetu ndio mna akila sana,ni mgawanyo wa madaraka tu. Kama hakuna mizengwe na rushwa katika mikataba hiyo na kama kweli mlifanya kwa nia njema ya maendeleo ya nchi yetu mbona mnaogoba kutuonyesha? Tunawasiwasi na mashaka katika maamuzi yenu. Kama mko safi weka mambo hadharani!

Simu

Barua pepe

mwakilaus@yahoo.com
Vote Result
----------

Mawaziri kujiuzia nyumba

Jina

John

Maoni

Kitendo cha mawaziri kujiuzia nyumba za serikli sio cha kiungwana kwani mawaziri sio wafanyakazi wa serikali, ikiwa chama kikimfukuza uanachama na uawaziri hata kuwa nao, je nyumba atairudisha?

Simu

Barua pepe

Vote Result
----------
Syndicate content