Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Abdalla, Iringa

Abdalla

Mimi ni mwanasports, kitu ambacho kinanikera kwamba TFF wameagizwa watafute kocha wa kutoka nje ili na sisi soka letu liwe juu lakini cha kusikitisha ni kwamba mpaka sasa hivi TFF haijaamua lolote, na sisi mwanasports tunasikilizia kwamba nini kinaendelea lakini hatuelewi chochote.


I am a sportsman. What annoys me is that TFF have been told to find a coach from abroad, so that also our football should be improved, but sadly until now TFF have not made a any decision. And we sports fans try to find out what is happening but we don't understand anything.

Vote Result
----------