Home Jaqueline Angel Lekei Mama Nancy Ambokile Rose Kevin Thomas Angelina Khamis Anato Emanuel honorath Samahani Ramadhani Lilian Sospeter Happiness Sakina Samuel Nasra Richard Sulemida Juma Hassan Mary Magari Mwaabu Fatuma Abdalla

Mary, Dar es Salaam

Mary

Mimi ni mkulima wa kilimo hai, napenda sana mazao ya kilimo hai maana yake situmii mbolea na wala situmii madawa ya kiwandani. Ninavyolima kilimo hai nnalinda udongo wangu unakuwa mzuri na pia mazingira siyaharibu kwa kutumia madawa.Mazao haya pia yananipatia kipato nje ya nchi na hapa kwahiyo napata kipato changu na kujiendesha maisha yangu vizuri.


I am an organic farmer, I really like organic produce, I don’t  use fertilizers or chemicals from the factory. When I practise organic farming I protect the soil and I don't destroy the  environment with chemicals. Farm products are my source of income that enables me to lead a good life.

Vote Result
----------